Thursday, October 11, 2007

Wanafunzi wapya

Wanafunzi wapya wa fani mbali mbali kutoka Tanzaniawanatarajiwa kuwasili hapa Algeria siku ya tarehe 18/10/2007 saa 12:45 Mchana kwa shirika la ndege la Qatar airways.Wana jumuia nyote munaombwa mujiandae kuwapokea
Utaratibu kamili utatangazwa hapo baadae

No comments: